African Superstar Diamond Ametangazwa Rasmi Kuwa Balozi Mpya wa Kampuni inayoendesha Michezo ya Kubahatisha (Betting) Inayoitwa Parimatch ambayo inafanya Michezo ya Kubashiri na Ameteuliwa Kuhamasisha Zaidi Wapenzi wa Michezo Haswa Waliopo Katika Sekta ya Burudani Kujaribu Bahari zao Kwenye Michezo ya Kubahatisha ili Waweze Kubadilisha Maisha yao Kwa Kushinda Kila Mara wanaposhiriki
Search This Blog
Saturday, September 14, 2019
Aliye Nacho Anacho Tuu..Diamond Akwaa Ubalozi Mwingine wa Pesa Nyingi
African Superstar Diamond Ametangazwa Rasmi Kuwa Balozi Mpya wa Kampuni inayoendesha Michezo ya Kubahatisha (Betting) Inayoitwa Parimatch ambayo inafanya Michezo ya Kubashiri na Ameteuliwa Kuhamasisha Zaidi Wapenzi wa Michezo Haswa Waliopo Katika Sekta ya Burudani Kujaribu Bahari zao Kwenye Michezo ya Kubahatisha ili Waweze Kubadilisha Maisha yao Kwa Kushinda Kila Mara wanaposhiriki
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...

No comments:
Post a Comment