Search This Blog

Wednesday, September 18, 2019

Msanii Quick Rocka na Zari Mambo Safi...Wafumwa Pamoja

Mfanyabishara ZARI amekutana na Staa wa muziki kutoka Tanzania, QuickRocka a.k.a Switcher katika Studio za 'Switch Records' nchini Tanzania.

Inahisiwa kukutana kwa wawili hawa ni upishi wa jambo kati yao au kati ya Zari na uongozi wa Studio hiyo inayomikikiwa na Quick.

Mbali na uwezo wa Quicki kama Mtayarishaji wa muziki, Zari naye ana historia ya kufanya muziki kama mwimbaji miaka ya nyuma.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...