Search This Blog
Thursday, September 12, 2019
MREBO Kidoa Ahofia Pete Kumtia Nuksi!
MODO na mwigizaji wa Bongo Muvi, Asha Salum ‘Kidoa’ amesema hataki shobo za wadada wa mjini wanaojivalisha pete ya uchumba na kukaa kidoleni miaka 10 kwani anahofia kuwa itamtia nuksi. Katika mahojiano maalum na Gazeti la Ijumaa, Kidoa alisema anaamini kama mwanaume anampenda mtu kamwe hawezi kumzuga na kumvalisha pete kidoleni kisha kukaa nayo zaidi ya mwaka, hiyo ni kujitia nuksi, jambo ambalo hapendi litokee kwake.
“Jamani mambo ya kutiana nuksi sitaki, naamini kama mwanaume ananipenda kweli, hawezi kuchukua muda mrefu katika uchumba bila kufunga ndoa, hiyo ya kuvaa pete ya uchumba kwa miaka kumi kisha unaachwa solemba, sitaki kabisa, bora nichine kwa mama yangu tu,” alisema Kidoa.
Stori: Imelda Mtema
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment