Search This Blog

Sunday, September 8, 2019

Mechi ya Mbeya City na Yanga yaahirishwa


Bodi ya Ligi Kuu Tanzania bara imeuondoa kwenye ratiba mchezo wa ligi kuu kati ya Mbeya City na Yanga uliopangwa kuchezwa Septemba 18 mwaka huu na sasa mchezo huo utapangiwa tarahe nyingine.

Taarifa kutoka bodi ya ligi inaeleza kuwa sababu za kuondoa mchezo huo ni kuipa nafasi timu ya Yanga kujiandaa na mchezo wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya Zesco ya nchini Zambia.

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...