Search This Blog

Sunday, September 1, 2019

Maskini...Baba Mtakatifu Francis Achelewa MISA Baada ya Kukwama Kwenye Lift

Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani, Baba Mtakatifu Francis (82) jana alichelewa misa katika Kanisa la Mt. Petro, jijini Vatican baada ya kukwama kwenye lifti kwa dakika 25 kufuatia umeme kukatika, kabla ya kutolewa na kikosi cha zimamoto. Awali ilihofiwa kuwa kiongozi huyo alichelewa kutokana na sababu za kiafya.

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...