Search This Blog
Monday, September 2, 2019
Lijue Tamasha la watu kusafiriki wakiwa wamevalia chupi pekee
Huu mkusanyiko wa picha kutoka miji mbalimbali ya dunia unaonyesha watu wakisafiri kwenye treni wakiwa wamevalia chupi pekee kwenye tamasha lijulikanalo kama No Pants Subway Ride.
Tamasha hilo la kila mwaka lilianzishwa mwaka wa 2002 na shirika la Improve Everywhere katika mji wa New York, Marekani.
Wakati wa tamasha hilo, watu ambao hawajuani hukutana kwenye vituo vya treni wakiwa wamevalia chupi pekee na nguo za juu, na kutangamana kama marafiki ambao wamejuana kwa siku nyingi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...




No comments:
Post a Comment