Search This Blog

Friday, September 13, 2019

Lema Arusha Kijembe Amtaka Kinana na Makamba Kuutafakari


Mbunge wa jimbo la Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema, amerusha kijemba na kumuambia aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahman Kinana na Yusuph Makama kuutafakari.

Lema jana kupitia akaunti wake wa Twitter alisema askari nchini Italia katika kazi zake alisimamisha gari kwa ukaguzi, gafla alianza kukimbia akiwa hoi alisema amemkuta papa akiendesha gari na amempakia mtu.

“Akaulizwa cha ajabu nini? Akajibu anaye endeshwa na papa bila shaka anaweza kuwa Yesu. Mh Kinana/Makamba, Tafakarini,” aliandika ujumbe huo Lema.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...