Search This Blog
Monday, September 9, 2019
Kabla Hujaoa Chunguza Tabia ya Mama Mkwe Wako
Mara nyingi mabinti huchukua tabia za mama zao aidha kwa kurithi au kuadapt hivyo ni bora kabla ya kuoa mchunguze mama mkwe maana tabia yake ndo tabia ya mkeo mtarajiwa, kama mama mkwe anachepuka basi tegemea hata mkeo atachepuka ni vizuri pia kuchunguza jinsi wazazi wa mchumba wako wanavyoishi.
Nitoe ushuhuda kidogo nilikuwa na mchumba binti ambae nilikutana nae chuo nikampenda sana nae akaonekana ananipenda kweli nikataka kumfahamu zaidi hasa nyumbani kwao nikagundua kuwa mamake sio mwaminifu kwenye ndoa kwani hata kuna mtoto alizaa nje ya ndoa nikaamua kuachana nae akaja kuolewa na mwanaume mwingine ninavyoandika hapa ndoa imevunjika mwanamke mchepukaji.
Suala usioe mwanamke ambae amelelewa na mama tu mara nyingi hawa wanakuwa na matatizo kwenye ndoa maana hutaka kujitawala kama mama zao.
Tabia ya mkeo ni tabia ya mama mkwe wako.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment