Search This Blog

Tuesday, September 3, 2019

Hawa Nitarejea "Siamini Wanaume..Kuna Mmoja Alinibadilisha Dini Alafu Akanitelekeza"


SWALI: Vipi kama atatokea mwanaume mwenye nia nzuri ya kukuoa?

HAWA NITAREJEA: Sidhani kama nitakuja kumuamini mwanaume yeyote yule, kwa sababu alishawahi kuja kijana mmoja mpaka nyumbani kwetu, akajitambulisha na kunitolea mahari, nikabadili mpaka dini kuwa Mkristo kwa sababu yake, lakini alikuja kuniacha vibaya, ndio maana mpaka leo hii siamini wanaume kabisa

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...