Search This Blog

Thursday, September 19, 2019

Hasheem Kwenye Majaribio na Klabu ya New York Knicks kwa mara nyingine


NI Headlines za mtanzania anaecheza mpira wa kikapu ,Hasheem Thabeet ambapo wiki kadhaa zilizopita alionekana kwenye ukurasa wa instagram wa klabu ya New York Knicks akiwa na wachezaji wenzake pamoja na makocha wao.


Sasa leo Sept 19, 2019  imetoka taarifa nyingine kwamba Hasheem yuko kwenye majaribio na timu kuangaliwa uwezekano wa kusajiliwa na kwasasa ninazungumza yupo na ratiba ya kushiriki mazoezi na club hiyo ya Knicks kwa mara nyingine  wiki hii huko Westchester.

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...