Search This Blog

Thursday, September 26, 2019

Diamond alamba dili la mamilioni Atua na Ulinzi Mkali “Ukiniona mimi sehemu ujue wako vizuri”


Msanii wa muziki Diamond Platnumz Jumatano hii amekula dili la ubalozi kutoka kampuni ya sabuni ya NiceOne.

Muimbaji huyo amesaini mkataba wa miaka miwili na kampuni hiyo.

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...