Search This Blog
Monday, September 9, 2019
BREAKING: Tetemeko la ardhi latokea mkoani Katavi
Inaripotiwa kuwa Tetemeko la ardhi limetokea katika mkoa wa Katavi na kuyakumba maeneo mbalimbali ya mkoa huo.
Mjiolojia Mwandamizi kutoka Taasisi ya jiolojia Bw.Gabriel Mbogoni amesema tetemeko hilo lina ukubwa wa 5.2 katika vipimo vya ritcha.
Kwa upande wake Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi Benjamin Kuzaga amesema tetemeko hilo limepiga maeneo kadhaa lakini hadi sasa hakuna mathara yoyote yaliyojitokeza.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment