Search This Blog

Thursday, September 12, 2019

Amber Lulu "Siwezi Kutembea na Ommy Dimpoz...Yeye Hana Habari na Wanawake"


Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva, Amber Lulu, ametaja list ya wasanii ambao amadai hawezi kutoka nao kimapenzi kwa namna yeyote ile.


Katika orodha hiyo Amber Lulu amemtaja msanii wa kwanza ambaye hawezi kutoka naye ni Dudubaya, Ommy Dimpoz, Alikiba na wengine wengi.

Akizungumza kwenye kipindi cha KIKAANGONI kinachoruka kupitia kurasa za Facebook na YouTube za East Africa Television, Amber Lulu amesema, "siwezi kutembea na msanii kama Dudubaya anaongea sana, Kalapina yeye ni mkorofi sana, Ommy Dimpoz yeye hana habari na wanawake sijui kwanini".

Kwa sasa Amber Lulu anatamba na ngoma ya 'Haters' ambayo anatarajia kutoa video wiki ijayo.

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...