Search This Blog
Friday, August 16, 2019
Wema Sepetu 'Tatizo la Uzazi Niliyokuwa Nalo Limeshatatuliwa'
MUIGIZAJI nyota ambaye anatokea katika kiwanda cha filamu cha Bongo movi, Tanzanian 'Sweetheart', Wema Sepetu, amesema bado anatamani kuwa na mtoto na hakuwahi kuacha kumtamani.
Amesema shida ya kutopata mtoto ilichangiwa kuwa na matatio katika mfumo wa uzazi kitu kilichopelekea kushindwa kubeba ujauzito.
Wema amesema kwa sasa tatizo hilo limeshatibiwa hivyo chochote kinaweza kuhapeni.
Mshindi huyo wa tuzo ya ulimbwende mwaka 2006, amesema kwa sasa amekuwa, hivyo ameacha kufanya mambo yatakayoichafua heshima yake,huku akidai yupo anapiga dili kwa kuwa balozi kwenye kampuni za ndani na nje ya nchi na anaimani michongo mingi itaendelea kumiminika.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment