Search This Blog

Saturday, August 3, 2019

WATUMISHI WA UMMA NA MAAFISA ITIFAKI WAPATA MAFUNZO KUHUSU UTOAJI WA HUDUMA SADC


Wakufunzi wa mafunzo kwa watumishi wa umma na Maafisa Itifaki watakaotoa huduma kwa wageni watakaoshiriki Mkutano wa 39 wa SADC wakimsikiliza mtoa mada (hayupo pichani) wakati wa mafunzo hayo. Mafunzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa mkutano wa kimataifa wa Julius Nyerere

Baadhi ya watumishi wa umma na Maafisa Itifaki waliohudhuria mafunzo maalum ya namna yakuwahudumia wageni wa mkutano wa SADC wa 39 yaliyoratibiwa na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa kimataifa wa Julius Nyerere

Baadhi ya watumishi wa umma na Maafisa Itifaki waliohudhuria mafunzo maalum kuhusu namna yakuwahudumia wageni wa mkutano wa SADC wa 39 wakifuatilia mafunzo hayo yaliyoratibiwa na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa kimataifa wa Julius Nyerere,Dar es Salaam. 

Sehemu ya watumishi wa umma na Maafisa Itifaki waliohudhuria mafunzo maalum kuhusu namna yakuwahudumia wageni wa mkutano wa SADC wa 39 


No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...