Search This Blog
Monday, August 26, 2019
Wabongo 8 Wajizolea Tuzo za Maranatha Gospel Worship Nchini Kenya
WAIMBAJI nane wa nyimbo za Injili nchini Tanzania akiwemo mwimbaji chipukizi, Abby Chams wameibuka washindi wa Tuzo za Maranatha Gospel Worship Music (MGWMA), zijulikananazo kama Maranatha Awards Eastern Africa.
Tuzo hizo ambazo zimefanyika jana usiku katika Ukumbi a Kimataifa wa Mikutano wa Kenyatta (K.I.C.C), jijini Nairobi na kuhudhuruwia na mamia ya watu wakiwemo wadau wa neno la Mungu na waimbaji wenyewe iliwakutanisha miamba mbalimbali wa tasnia hiyo katika vipengele mbalimbali.
Tuzo hizo zilihusisha nchi 9 zikiwa ni: Kenya, Uganda, Tanzania, Rwanda, Burundi, South Sudan, Ethiopia, Eritrea na Somalia.
Watanzania walioibuka washindi ni pamoja na;
Joel Lwaga (Male Minister of the Decade)
Angel Benard (Female Minister of the Decade)
Martha Mwaipaja (Exemplary Songwriter of the Decade)
Bahati Bukuku (Best Biblical Narration Songs)
Ambwene Mwasongwe (Missions Minister of the Decade)
Paschal Cassian (Master Piece Video Art Work of Excellence Victory) – Song: Ona Wanavyo Mwabudu
Paul Clement (Mani Worship Experienceawe Worship Event of the Year)
Abby Chams (Dr Myles Munroe Maranatha Purpose Driven Personality).
Miongoni mwa walioshindwa kunyakuwa tuzo hizo kwa upande wa Tanzania ni Goodluck Gozbert.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment