Wadau wa sekta ya usafirishaji wametoka ndani ya mkutano wa kuchukua maoni ya kuboresha rasimu za kanuni mbalimbali zitakazotumika katika sheria ya uendeshaji wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Ardhini (Latra).
Kanuni hizo zinalenga kusimamia sheria namba 3 ya mwaka 2019 ya usafirishaji na uchukuzi chini ya Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano kupitia Latra.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USIKOSE KU-SUBSCRIBE

No comments:
Post a Comment