Mamlaka ya Maji Safi na usafi wa mazingira Dodoma, DUWASA imeanza kutekeleza mradi wa maji ya Ntomoko Wilayani Kondoa, Mkoa wa Dodoma, na wamebainisha kuwa maandalizi yote yapo tayari na wameshaanza kutekeleza mradi huo pamoja na kuagiza mabomba nje ya nchi.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.....USIKOSE KU-SUBSCRIBE

No comments:
Post a Comment