Search This Blog

Sunday, August 25, 2019

VIDEO: Hali ilivyo uwanja wa Taifa muda huu/ Mashabiki wa Simba watamba, Shiboub, Chama watajwa


Jumapili ya leo katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam Simba SC wanatarajiwa kucheza mchezo wa marudiano na UD Songo ya Msumbiji katika mchezo wa klabu bingwa Afrika majira ya saa 10 jioni. Mashabiki wa Simba wametamba kushinda mchezo huo kwa mabao matano.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE


No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...