Search This Blog

Monday, August 19, 2019

Update: Kesi ya Mwandishi Erick Kabendera kuendelea leo


Kesi ya Mwandishi wa habari Erick Kabendera, inaendelea leo August 19, 2019, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam.

Kabendera anashtakiwa makosa 3 ikiwemo la utakatishaji wa fedha wa Tsh. Mil. 173, ukwepaji kodi na njama ya kutenda kosa la jinai.

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...