Search This Blog
Wednesday, August 28, 2019
Uganda yazindua kampeni ya kuchangia damu kufuatia ongezeko la malaria
Wizara ya afya nchini Uganda imezindua kampeni ya miezi mitatu ya kuchangia damu kufuatia ongezeko la ukosefu wa damu lililosababishwa na ongezeko la ugonjwa wa malaria nchini humo.
Akiongea katika shughuli za uzinduzi, waziri wa nchi anayeshughulika na huduma za afya Bibi Joyce Moriku Kaducu amesema kampeni hiyo inalenga kuongeza vitengo vya damu hadi elfu 50.
Kiwango hicho cha damu kinatarajiwa kupatikana kabla ya mwezi Novemba kutoka vitengo elfu 25 vya damu vya sasa. Pia amehamasisha wananchi kuchangia damu ili kuokoa maisha.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment