Search This Blog
Sunday, August 25, 2019
Timu za Jeshi Tanzania zazidi kujiweka sawa katika EAPCCO GAMES
Timu za Jeshi la Polisi Tanzania zikiwa katika mazoezi katika viunga vya Chuo Kikuu cha Kenyata Jijini Nairobi nchini Kenya baada ya kuwasili tayari kwa mashindano ya michezo ya Wakuu wa Majeshi ya Polisi kwa Nchi za Kanda ya Afrika Mashariki 2019 (EAPCCO GAMES), michezo inayofanyika Nchini Kenya.
Katika mashindano hayo, Jeshi la Polisi Tanzania linashiriki katika michezo ya mpira wa miguu, mpira wa kikapu, kareti, judo, taekwondo, vishale, riadha, kuvuta kamba na ulengaji wa shabaha. Mwaka jana 2018 michezo hiyo ilifanyika nchini Tanzania, ambapo Jeshi la Polisi Tanzania liliibuka mshindi wa pili katika matokeo ya jumla.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...



No comments:
Post a Comment