Search This Blog

Thursday, August 22, 2019

Serikali yamtafuta Twiga mwenye kidonda kwenye jicho


Mamlaka ya Wanyamapori Kenya inamtafuta Twiga mwenye kidonda kwenye jicho aliyeripotiwa kuwepo katika Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Nakuru.

Kupitia mitandao ya kijamii wananchi wameishinikiza mamlaka hiyo kumpatia mnyama huyo matibabu, hatua iliyopeleka mamlaka hiyo kuanza kumtafuta.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...