Search This Blog

Wednesday, August 21, 2019

Salam Sk 'Harmonize kwa sasa Moyo wake haupo WCB


@Harmonize  kwa sasa Moyo wake haupo WCB, na amekwisha andika barua ya ku terminate mkataba wake na kampuni kwa sasa tunasubiri tukae wote kama board ili tumruhusu kisheria kujiengua"- salam sk

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...