Search This Blog

Monday, August 5, 2019

Picha: Waziri Simbachawene afanya ziara Zanzibar, ajitambulisha

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. George Boniface Simbachawene (kushoto) akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mohamed Aboud (katikati) alipomtembelea Ofisini kwake Vuga kujitambulisha

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. George Boniface Simbachawene (wa pili kulia) alipomtembelea Ofisini kwake Vuga Visiwani Zanzibar kwa ajili ya kujitambulisha
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi (kulia) akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, George Boniface Simbachawene (kulia) alipomtembelea Ofisini kwake Vuga Visiwani Zanzibar kwa ajili ya kujitambulisha





No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...