Search This Blog

Thursday, August 29, 2019

Picha: IGP Sirro akutana na IGP wa Sudani

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini Sudani, Adil  Mohamed Ahmed, akiweka saini kwenye kitabu cha wageni mara alipowasili Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Nchini kwa ziara ya kikazi ya siku mbili ambayo imelenga kuzidi kuimarisha ushirikiano uliopo kati ya Jeshi la Polisi Tanzania na Jeshi la Polisi la Sudani
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, akimsikiliza Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini Sudani, Adil  Mohamed Ahmed, wakati akitoa hotuba mbele ya Makamishna na Maofisa Wakuu Waandamizi wa Jeshi hilo (hawapo pichani) leo jijini Dar es salaam, wakati wa ziara yake ya kikazi ya siku mbili ambayo imelenga kuzidi kuimarisha ushirikiano uliopo kati ya Jeshi la Polisi Tanzania na Jeshi la Polisi la Sudani





No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...