Search This Blog

Tuesday, August 13, 2019

PICHA: Hii Ndio Changamoto ya Usafari wa Mwendo Kasi Mbezi Mwisho

PICHA Hii ni foleni katika kituo cha Mabasi ya Mwendo kasi eneo la Mbezi Mwisho. Usafiri wa mabasi hayo bado ni changamoto kwa wakazi hawa, takribani nusu saa sasa basi halijafika kituoni na foleni inazidi kuongezeka

TOA MAONI YAKO HAPA

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...