Search This Blog

Sunday, August 4, 2019

Nyota Zenu Leo Jumatatu 5 Aug 2019

NYOTA ZENU LEO JUMATATU  5/AGOST/2019

SIMBA (Julai 22-Agosti 22)
Leo Ni siku murua na unaweza kutajika na kutukuzwa katika mambo yako utakayoyafanya. Pamoja na hayo fanya bidii sana katika miradi yako au mipango yako hakikisha kwamba hukwami katika jambo lolote.

MASHUKE  (Agosti 23-Sep 23)
Leo Jiepushe na maneno maana  inaonekana utalaumiwa kwa mambo ambayo hukuyatarajia au hukuyafanya kuwa makini sana na mipangilio yako hasa masuala yanayohusiana na mambo ya mapenzi.

MIZANI  ( Sep 23-Oktoba 23)
Leo inaonekana ni siku ambayo utakumbana na usumbufu wa mara kwa mara kwa mara kutoka kwa wale unaoshughulika nao kazini kwako kuna mvurugano unaweza kuzuka kati yako na wenzio. kuwa na tahadhari.

NGE (Oktoba 23-Nov  22)
Leo itakuwa siku yako ya furaha hasa nyakati za jioni, shiriki na wenzako katika furaha hiyo, tulia na fanya mambo yako kwa unagalifu mkuwa utabata baraka na matokeo mazuri makubwa.

MSHALE (Nov 22- Desemba 21)
Leo utapata nafasi kubwa ya kushughulikia masuala ya nyumbani na kazini kwako, unashauriwa kufanya mabadiliko ili uweze kupata vitu vizuri.

MBUZI ( Desemba 21- Jan 20)
Leo kadiria matumizi yako kwa uangalifu mkubwa kuna jamaa zako wanataka kukuibia kijanja pamoja na hayo leo ni siku nzuri kwako kujishughulisha na utafutaji.

NDOO (Jan 20- February 19)
Leo ni siku ambayo unatakiwa kufuata uamuzi wako mwenyewe kwa kufanya lile ambalo unaloona kuwa litakufaa katika maisha yako, Jitahidi kuondoa msongo wa mawazo ulionao.

SAMAKI ( February 20- March 20)
Leo kuwa makini kuna watu ambao inaonekana watakuingilia katika mambo yako jambo ambalo litakukera na halitakupendeza. Jitenge na watu hao na endelea na shughuli zako mwenyewe.

PUNDA ( March 20-April 20)
Leo Ni wakati wako wa kufikiria namna ya kujiwekea akiba kutokana na kipato unachopata hata kama kikiwa kidogo. Leo unaweza kupata mialiko mingi kuwa tayari na hayo.

NGOMBE( April 21- May 20) `
Leo jitahidi kadri uwezavyo kuhakikisha kwamba hupati upinzani au pingamizi katika mambo yako ambayo unataraji kuyafanya.  Siku nzuri kwako kama ulikuwa na safari.

MAPACHA (  May 21- Juni 20)
Siku ya leo kuna nafasi nzuri kwako kufanikisha mambo yako, Ni siku nzuri kwako kuanzisha mipango mipya au miradi kwa faida yako ya baadae. Ukiudhiwa na jambo lolote vumilia.

KAA ( Juni 21- Julai 22)
Njama za marafiki zako kutaka kukuharibia kazi na shughuli zako zinaelekea kutimia hasa mwezi huu unao kuja. Kuwa makini sana kwa kila kitu utakachokuwa unakifanya.   

SHEIKHE ISAYA ANASOMA DUA NA ANATABIRI 
nyota, kusafisha nyota,  kuondoa nussi mikosi, kutoa majini wabaya, kutafsiri ndoto, kumvuta na kumrundisha mmeo ama mkeo, aliye kuacha ama hakutimizii maitaji yako,  kupata kazi, kupata cheo, kushinda kesi, kufaulu masomo, kutibu wagonjwa, walio ugua magonjwa kwa mda mrefu,kisukari, presha, kasa, ngiri, busha,

SHEIKHE ISAYA ANAPATIKANA DAR E-SALAM OFISINI KWAKE MAGOMENI MSIKITI WA KINYUNGI SIMU AU WHATSAPP +25574549518  0682644040  WOTE MNAKARIBISHWA

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...