Search This Blog

Saturday, August 3, 2019

Nyota Yako Leo Jumapili 04 Aug 2019

NYOTA ZENU LEO JUMAPILI AGOST 4/8/2019

SIMBA (Julai 22-Agosti 22)
Hutaweza kuyatatua matatizo yako peke yako unahitaji msaada wa watu wengine shughulika na mambo muhimu ya kwako acha ya watu wengine ambayo yanahitaji msaada wa kimawazo.

MASHUKE  (Agosti 23-Sep 23)
Leo kuwa karibu karibu na watu wako zako wape mawazo yako na vilevile waombe wakupe ushauri kuhusiana na changamoto  zinazokukabili na ushauri huo utakusaidia.

MIZANI  ( Sep 23-Oktoba 23)
Leo Shirikiana na mtu yoyote kwa sababu unaweza kupata maarifa ya kufanikisha shughuli zako muhimu ulizonazo kwa sasa. Kuwa macho wadanganyifu ni wengi na hawalali wakifikiri namna ya kukudhuru

NGE (Oktoba 23-Nov  22)
Leo unaweza kujihisi hasira na utakasirika  hovyo bila  ya kuchokozwa na mtu yoyote. jizuie kushiriki katika magomvi na yoyote.

MSHALE (Nov 22- Desemba 21)
Tumia siku ya leo kufanya mambo yako mwenyewe yale yote ambayo unayaona ni ya muhimu. siyo siku nzuri sana kwako na usitoe ahadi zozote..

MBUZI ( Desemba 21- Jan 20)
Leo tumia njia nzuri na utapata majawabu kwa matatizo yanayokukabili. kaa na mtu wako wa karibu na  uzungumze kwa kina mambo yako. yaliyo moyoni kwako ili ipatikane suluhu.

NDOO ( Jan 20- February 19)
Leo yaweka pembeni mambo ambayo unayaona hayana maana kwa sababu maisha yako ni muhimu sana kwako kuliko jambo lolote jingine linalokukabili.

SAMAKI ( February 20- March 20)
Kumbuka huko nyuma ushawahi kujikuta ukiwa katika hali  mbaya. Leo kutana na rafiki ambaye atakuhitajia sana umsaidie katika jambo la faragha.Usimnyime anachohitaji kwa sababu umeteseka sana.

PUNDA ( March 20-April 20)
Leo Kama ikiwa ni vigumu kwako kutimiza ahadi au mipango yako basi waambie uliowaahidi wasubiri lakini kamwe usighairi utakwama ila  jitahidi kutekeleza ahadi ulizowaahidi watu.

NGOMBE( April 21- May 20)
Leo Siri kubwa ya wewe kuondokana na mabalaa yanayokukabili au bahati mbaya  ni kuwa karibu na umpendae  na ikiwezekana mtekelezee yake anayokihitaji

MAPACHA (  May 21- Juni 20)
Leo Ni siku nzuri ya kujumuika na watu na kuwasaidia watakaohitaji msaada wako. Kumbuka kuwa  ukitenda wema kwao  ni faida kwako na ni kama  unajifanyia mwenyewe.

KAA ( Juni 21- Julai 22)
Leo jambo la muhimu kwako ni kuwa muangalifu na usijishughulishe na mambo ambayo watu wanayasema kwa sababu shida na matatizo yao waliyonayo hivi sasa ni kujitakiya wenyewe.

SHEIKHE ISAYA ANAMSHUKURU MWENYEZI mungu kwa kumpa karama na uwezo wa kufundisha na kuwaombea dua viumbe wake. na anawashukuru wote mliorudi kutowa shukrani kwake. wengine mlioko nje ya nchi. shekhe isaya anatabiri nyota, kuondoa nussi mikosi, kutoa majini wabaya, kutafsiri ndoto, kumvuta na kumrundisha mmeo ama mkeo,aliye  kuacha ama akutimizi shida zako . kupata kazi. kupata cheo. kushinda kesi.kufaulu masomo. nk SHEIKHE ISAYA ANAPATIKANA OFISINI KWAKE MAGOMENI MSIKITI WA KINYUNGI SIMU AU WHATSAPP +255745495181 0682644040

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...