Search This Blog

Sunday, August 18, 2019

Mwanamke nchini Kenya avunja rekodi ya kitabu cha Guiness kwa kupika saa 75


Maliha Mohammed, mpishi maarufu kutoka Mombasa nchini Kenya amevunja rekodi ya dunia ya kitabu cha Guiness kwa kupika kwa muda mrefu zaidi. Mwanamke huyo amekuwa mtu wa kwanza kuvunja rekodi hiyo barani Afrika

Maliha alipika kwa muda wa saa 75 bila kupumzika na hivyo kuvunja rekodi ya dunia siku ya Jumapili katika hoteli ya kitalii ya Bay Beach mjini Mombasa.

Muda mrefu zaidi kuwahi kufikiwa ulikuwa muda wa saa 68 dakika 30 na sekunde 1, na ulivunjwa na Rickey Lumpkin mjini Los Angeles Marekani mwaka 2018.




No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...