Baada ya watu kusema sana anameza vidonge ili awe mweupe! Hatimaye video vixen, Irene Louis ‘Lyyn’ ameanika ukweli wa madai hayo kuwa muonekano wake wa ngozi ndivyo alivyo tangu amezaliwa.
Lyyn aliyajibu hayo alipobananishwa kati na Mikito Nusunusu pande za Mlimani City jijini Dar ambapo alisema amekuwa akisikia na kuona mitandaoni akiandamwa na maneno ya watu ambao hawajui ukweli kwani kwao wengi ni weupe kama alivyo.
“Unajua nachoka na haya maneno ya watu, yaani kila siku ni mimi tu, kwa nini jamani? Ukweli ni kwamba nilivyo sijawahi kutumia hayo madawa. Halafu vitu vingine rahisi sana kama wanaamini natumia nimekuwa hivi basi na wao waingie madukani wanunue wawe kama mimi,” alisema Lyyn.
Search This Blog
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment