Search This Blog

Tuesday, August 6, 2019

Madiwani wawili wa Chadema watimkia CCM na kujiuzulu nafasi zote


Madiwani wawili waliokuwa CHADEMA kata za Tegeruka (Benjamin Peter Maheke) na Busambara (Ngero Anthony Kibuyu) wamejiuzulu nafasi zao zote ndani ya chama hicho na kujiunga na CCM katika jitihada za kuunga mkono juhudi za Rais John Magufuli katika kuwaletea wananchi maendeleo.









No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...