Search This Blog

Wednesday, August 7, 2019

Kutana na Mwanaume Anayekula Panya Mwaka wa Sita...Adai Chips ni za Wanawake

 Taja mboga unayoipenda…. na wakati ukitaja, Given (22) anasema Mboga anayoipenda ni nyama ya panya buku ambayo kwa miaka 6 sasa hivi amekua akiitumia kama kitoweo cha mchana au jioni, imekuaje? katuonesha kuanzia anavyoiandaa na kuichoma

VIDEO:



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...