Search This Blog
Monday, August 26, 2019
Kenya yaanza kuuza mafuta ghafi nje ya nchi
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amezindua usafirishaji wa mafuta ghafi yanayochimbwa nchi humo katika Kaunti ya Turkana ambayo yanaenda kuuzwa nje ya taifa hilo.
Rais Kenyatta ameshuhudia meli yenye mapipa 200,000 ya mafuta yenye thamani ya Ksh. Bilioni 1.2 (zaidi ya Tsh. Bilioni 26.6) ikiondoka kwenda Uingereza
Kuondoka kwa meli hiyo katika bandari ya Mombasa kunaifanya Kenya kuwa nchi ya kwanza Afrika Mashariki kuuza mafuta ghafi inayoyachimba
Katika hatua hiyo, Kenya imesema inatumia shehena hiyo ya kwanza kujaribu soko la Dunia kabla haijaanza kuuza kwa kiwango kubwa zaidi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...


No comments:
Post a Comment