AMEFUNGUKA! Mchumba mpya wa staa wa Bongo Muvi, Aunt Ezekiel, Alfo ameweka wazi kuwa hakuna mwanamke anayemzimikia kwenye hii dunia kama mwigizaji huyo.
Kijana huyo raia wa Ivory Coast ambaye kapanda hewani, amesema Aunt ni kama dhahabu aliyokuwa akiitafuta kwenye nchi mbalimbali bila mafanikio hadi alipokutana naye Bongo.
“Jamani ungejua ni kiasi gani ninampenda Aunt, ninamfananisha na dhahabu ambayo siku zote inang’aa haiharibiki hata kidogo, huyu ni mwanamke mzuri sana.
“Dhahabu niliyokuwa ninaitafuta nchi mbalimbali nimeipata, kwa kweli nina amani moyo wangu umeanza kuwa na amani tofauti na huko nyuma, naweka wazi kabisa amenimaliza,” alisema Alfo na kusisitiza kuwa anatamani kuzaa na staa huyo watoto wawili.
Search This Blog
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...


No comments:
Post a Comment