Search This Blog
Friday, August 16, 2019
Ajali Tena Morogoro, Wanne Wafariki Dunia
WATU wanne wamefariki dunia katika ajali iliyohusisha basi la abiria mali ya Kampuni ya Safari Njema lililokuwa likitokea Dar es Salaam kwenda Dodoma na lori maeneo ya Nanenane mjini Morogoro usiku wa kuamkia leo.
Jeshi la Polisi limethibitisha kwamba: “Ni kweli usiku wa kuamkia leo Ijumaa Agosti 16, 2019, majira ya saa 7:30, kumetokea ajali eneo la Nanenane, basi mali ya Safari Njema likitokea Dar kwenda Dodoma limegongana kwa ubavu na lori mali ya Tumbaku Alliance, watu wanne wamefariki akiwemo dereva wa lori.”
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment