Search This Blog

Tuesday, July 30, 2019

“Wanaume Wengi Wananipenda, Ila Kutokana na Uzuri Wangu Wanaogopa Kunitongoza” – Miss Tanzania 2016, Diana Edward



Miss Tanzania 2016/17, Diana Edward amesema kuwa kutokana na uzuri wake na umaarufu alio nao, umesababisha kushindwa kupata mwanaume sahihi mpaka sasa kwani wengi wao wamekuwa wakionesha kumpenda lakini wanashindwa kumwambia.

Akiongea na waandishi wa habari, Diana amesema kuwa alishawahi kuwa kwenye mahusiano lakini kutokana sababu zilizo nje ya uwezo wake penzi likavunjika.

"Wanaume wengi wananipenda, Ila kutokana na uzuri wangu wanaume wanaogopa kunifuata" - Ameyasema hayo Miss Tanzania 2016, Diana Edward


No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...