Search This Blog

Monday, July 15, 2019

VIDEO: Waziri Mkuu kuzindua Daftari la kudumu la kupiga kura


Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC Dkt Athumani Kihamia amesema kuwa zoezi la uandikishaji wa daftari la Kupiga kura linanza hivi karibuni ambapo Waziri Mkuu wa Tanzania Kasim Majaliwa anatarajiwa kuzindua zoezui hilo ambapo kwasasa maandalizi yote yamekamilika

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USIKOSE KU-SUBSCRIBE



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...