Search This Blog

Tuesday, July 9, 2019

VIDEO: Ole Sendeka aliamsha sakata la CAG



Mkuu wa mkoa wa Njombe Christopher Olesendeka ameiagiza halmashauri ya mji wa Njombe kuwachukulia hatua watumishi waliosababisha hasara na hoja za mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali  (CAG) zisizokuwa za lazima.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USIKOSE KU-SUBSCRIBE



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...