Search This Blog

Thursday, July 4, 2019

VIDEO: Mwenyekiti wa Simba SC afunguka tetesi za Mo Dewji kutaka kujitoa


Mwenyekiti wa klabu ya soka ya Simba SC, Sued Nkwabi amefunguka kuhusu tetesi zilizosambaa mitandaoni kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi wa timu yao, Mohamed Dewji kudaiwa kutaka kujiondoa kutokana na kutokuwa na maelewano mazuri na baadhi ya viongozi.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
 


No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...