Search This Blog

Tuesday, July 30, 2019

Taarifa za Wateja Milioni 100 wa Benki zadukuliwa


Taarifa za wateja zaidi ya milioni 100 wa Benki ya Capital One katika nchi za Marekani na Canada zimedukuliwa.

Habari kutoka ndani ya Benki ya Capital One zimesema taarifa zilizodukuliwa ni anuani na namba za simu za wateja wao.

Hata hivyo polisi wamemkamata mdukuzi huyo, Paige Thompson baada ya kujisifu mitandaoni kuwa ametekeleza kitendo hicho.




No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...