Search This Blog

Sunday, July 14, 2019

Simba SC kuelekea Afrika Kusini kujiandaa na Ligi


Kikosi cha Mabingwa wa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara (TPL), Simba SC leo kitaondoka nchini kwenda Afrika Kusini ambapo kitakuwepo huko kufanya mazoezi ya kujiandaa na msimu mpya.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...