Ni Algeria dhidi ya Senegal kwenye fainali ya michuano ya kombe la mataifa ya Afrika (AFCON) kwa mwaka 2019.
Timu hizo ambazo zilianza mashindano katika kundi C na Tanzania na Kenya zimeibuka na ushindi dhidi ya wapinzani wao na kukata tiketi ya kumenyana tena kwenye fainali.
Goli la kujifunga la Tunisia katika muda wa nyongeza limewavusha Senegal mpaka hatua ya fainali Japo wengi waliipigia debe Senegal kushinda mchezo huo, lakini ushindi haukuwa rahisi.
Nusu fainali ya pili baina ya Algeria na Nigeria ilitimua vumbi majira ya saa nne usiku kwa saa za Afrika Mashariki9, jijini Cairo. Ndoto za Nigeria kuchukua kombe hilo kwa mara ya nne zimezimwa kwa kipigo cha goli 2-1 kutoka kwa mbweha wa jangwani, Algeria.
Search This Blog
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment