Search This Blog

Thursday, July 18, 2019

Rais Magufuli aweka shada la maua kaburi la Baba mzazi wa Spika Ndugai


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akiweka shada la maua katika kaburi la Baba mzazi wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai katika eneo la Makaburi ya Ukoo wa Ndugai yaliyopo Chimotolo Kongwa mkoani Dodoma.




No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...