Search This Blog

Wednesday, July 24, 2019

Rais Magufuli afanya uteuzi mwingine


Rais Magufuli amemteua Edward Mpogolo kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida kuanzia Julai 24 akichukua nafasi ya Miraji Mtaturu ambaye amechaguliwa kuwa Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki, kabla ya uteuzi huo Mpogolo alikuwa DAS Dodoma na nafasi yake itajazwa baadaye.





No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...