Search This Blog

Monday, July 1, 2019

Picha: Waziri Mkuu akabidhiwa Simu ya TTCL


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekabidhiwa Simu ya TTCL na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Simu Tanzania (TTCL),Waziri Kindamba  Jijini Dar, walioshuhudia ni Meneja wa TTCL Mkoa wa Kinondoni Janeth Maeda na Meneja Huduma wa TTCL Kinondoni Salim Msalilwa.

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...