Search This Blog
Sunday, July 21, 2019
P Diddy Ajiingiza Kwenye Uhusiano Mpya na Mpenzi wa Mtoto wake?
Stori kubwa ambayo imeviteka vyombo vya habari nchini Marekani ni kuhusiana na mkongwe wa muziki wa Hip Hop P Diddy ambaye anadaiwa kujihusisha kwenye mahusiano ya kimapenzi na mwanadada Lori Harvey(22) ambaye ni mtoto wa mtangazaji maarufu Steve Harvey.
Inaripotiwa kuwa mwanadada aliwahi kuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi na Justin Combs ambaye ni mtoto wa P Diddy ingawa stori ya penzi kati ya Diddy na Lori hazijathibitishwa lakini kwa upande mwingine zimepamba moto baada ya Lori kuonekana akiwa na Didy kwenye gari aina ya Chauffeured Maybach na kuelezwa kuwa walikuwa wakienda kupata chakula cha jioni (dinner).
Kwa mujibu wa mtandao wa Rap Up uliwahi kuripoti kuwa mwanadada huyo aliwahi kuvalishwa pete ya uchumba na Diddy kitu ambacho hakijathibitishwa mpaka leo na imeripotiwa kuwa penzi kati ya Justin Combs na Lori lilivunjika.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...


No comments:
Post a Comment