Search This Blog

Tuesday, July 23, 2019

Nyota Yako Leo Jumatano Julai 24, 2019

NYOTA YAKO LEO JUMATANO  JULAI 24/2019:

☣️SIMBA LEO- (Julai 22- Agosti 22)
Siku ya leo inaweza kuwa na utata kwako. kuwa muangalifu na mtu yoyote ambaye utashirikiana nae katika jambo lolote wengine utakaowaamini wanaweza kukuingiza katika mambo ambayo yatakuletea balaa kubwa na hasara kuwa macho sana.

MASHUKE- (Agosti 23- Septemba 23)
Hii ni siku ambayo kuna uwezekano mkubwa wa uhusiano wako kuvurugika Kuwa makini katika ushirikiano na marafiki zako wengine sio marafiki wa kweli Wanakuhitaji kwa ajili ya kupata kitu kutoka kwako.

☣️MIZANI- (Septemba 23-Oktoba 23)
Pamoja na kwamba leo itakuwa siku nzuri kwa kila jambo lako utakalolifanya usianzishe mambo mapya endeleza ya zamani na utafanikiwa tu wala usikate tamaa.

☣️NG'E- (Oktoba 23- Novemba 22)
Tumia siku ya leo kukamilisha mambo yako uliyokuwa umeyapanga kufanya Nenda safari kutana na wadau wa shughuli zako na tekeleza majukumu yako kazini Mambo mazuri yanakuja.

☣️MSHALE- (Novemba 22- Desemba 21)
Leo uwezekano wa wewe kufanikiwa katika mambo yako upo mkubwa tu ila jaribu sana kuwa muangalifu katika kila jambo ambalo umepanaga kulifanya unaweza kuharibikiwa.

☣️MBUZI- (Desemba 21- January 20)
Leo kama una jambo linakutatiza kukutana na waliokuzidi umri upate ushauri vinginevyo itakuwa vigumu kwako kutatua matatizo yako yanayokukabili hasa yale yanayohusiana na mapenzi na ndoa kama yapo.

☣️NDOO- (January 20- February 19)
Leo Ili kufanikiwa mipango yako ni lazima ukutane na wakubwa wakusaidie kuondokana na yanayokusibu vinginevyo hakuna mafanikio utakayopata katika jambo lolote.

☣️SAMAKI- (February 20- March 20)
Leo elewe kwamba hata kama ukikubaliana na mtu yoyote jambo lolote atakwambia ngoja kwanza au atakucheleweshea mahitaji yako kutokana na hali hiyo kuwa na subira na tumia busara utafanikiwa.

☣️PUNDA- (March 20-April 20)
Leo jaribu sana kuwa karibu na watu wako wasikilize matatizo yao na wasaidie utabarikiwa Fanya mambo yako bila uoga wala hofu na utafanikiwa.

☣️NG'OMBE- (April 21- May 20)
Leo kuwa makini sana unaweza kupata hasara kubwa katika biashara zako Tegemea kupata mgeni wiki hii ambaye atakuletea mpango mzuri ya kibiashara.

☣️MAPACHA– (May 21- Juni 20)
Leo kuwa na tahadhari jiepushe kujumuika na makundi yasiyofaa Kama una matatizo yoyote ambayo yanakusumbua jaribu sana kuwasiliana na mnajimu ili akusaidie hata kupata ushauri.

☣️KAA (Juni 21- Julai 22)
Leo Jifanye mjinga na fanya mambo kwa siri ili kupisha dhahama inayoweza kukutokea ila kuwa na tahadhari mambo yako yapo hatarini kuharibiwa na watu hasa wale ambao wako karibu yako                                                                     SHEIKHE ISAYA ANAWASHUKURU MWENYEZI mungu kwa kumpa karama na uwezo wa kufundisha na kuwaombea dua viumbe wake. na anawashukuru wote mliorudi kutowa shukrani kwake. wengine mlioko nje ya nchi. shekhe isaya anatabiri nyota, kuondoa nussi mikosi, kutoa majini wabaya, kutafsiri ndoto, kumvuta na kumrundisha mmeo ama mkeo, kupata kazi, kupata cheo, kushinda kesi, kufaulu masomo, nk SHEIKHE ISAYA ANAPATIKANA OFISINI KWAKE MAGOMENI MSIKITI WA KINYUNGI SIMU AU WHATSAPP +255745495181 0682644040

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...