Search This Blog

Tuesday, July 16, 2019

Nyota Yako Leo Jumanne 16 Jul 2019

NYOTA YAKO LEO JUMANNE  JULAI 16/2019:

☣️SIMBA LEO-  (Julai 24– Agosti 23)
Thamani yako itazidi kupaa hii ni wiki unayotakiwa kufikiria Jambo kabla ya kutenda kirahisi kumbuka unazidi kuanguka kutokana na kujirahisi.

☣️MASHUKE-  (Agosti 24- Septemba 23)
Umefanikiwa kuvuka vikwazo vya kutosha Sasa Ni Wakati wako wa kuanza kufaidi matunda ya jasho lako Jitahidi kuwa mkweli na kutekeleza majukumu yako kwa ufanisi.

☣️MIZANI– (Septemba 24– Oktoba 23)
Masuala ya kukuumiza moyo yatapungua wagonjwa watapata nafuu na wewe utajiona huru kufanya Jambo unalolitaka tafuta muda wa kupumzika baraka nazo zitakuja katika kipindi hiki.

☣️NG'E–  (Oktoba 24- Novemba 22)
Haakuna atakayethamini kazi yako Kama mwenyewe hujithamini hii Ni wiki utakayojaribiwa Sana lakini utafaulu Kila unalopanga ukihitaji kufuatilia Jambo gumu wiki hii litakuwa rahisi.

☣️MSHALE– (Novemba 22- Desemba 21)
Utakumbana na mzigo utakaohitaji nguvu zako kwa hali na Mali ili kusaidia lakini hutatupa kwani itakuwa ndiyo chanzo cha kufanikisha mambo mengi yaliyosimama.

☣️MBUZI– (Desemba 21– January 20)
Kuna mambo mawili umeshashika kwa Wakati mmoja acha moja ufanye jingine na Lile linalohusu kutendeka mbali na unapoishi ndiyo lenye mafanikio usipoteze muda kutafuta ushauri juu ya hili.

☣️NDOO– (January 20– February 19)
Unaweza kutengana au kuachana na mtu unayempenda kipato ndiyo chanzo cha yote unatakiwa kuwa mpole ili kukabili hasira za mwenzako wanaotafuta kizazi huu Ni muda wao mzuri.

☣️SAMAKI– (February 20– March 20)
Unafutwa Sana ili kutoa msaada kwa watu unaowajua na usiowajua si wiki nzuri kwako kumsikiliza Kila mtu wamechanganyika wabaya na wazuri Kama utatoa msaada usipitie mikononi mwako moja kwa moja.

☣️PUNDA– (March 20– April 20)
Unahitaji kufanya Jambo fulani lakini moyo unasita ukweli ni kwamba Wakati wake bado haujafikia na utakapokuwa tayari huo uzito hautakuwepo tena Kila kitu kitakwenda vizuri.

☣️NG'OMBE- (April 21– May 21)
Unatajwa Sana katika mahusiano ya mapenzi mapya huenda ukaingia sehemu uliyoipenda jiweke kwenye Tahadhari kwani hakuna matatizo ila utashindwa kutoka na Kama ulipanga muda mfupi hutoweza kamwe.

☣️MAPACHA- (May 20– Juni 21)
Nyamazisha wenzako wanaolia hiki ni kipindi cha kutoa sadaka japo kwa kile kidogo ulichokuwa nacho epuka kumkatisha mtu tamaa au kumdharau ni kipindi cha msjaribio yatakayokuondoa katika hali dhaifi na kupandishwa daraja.

☣️KAA– (Juni 22– Julai 23)
Zuia matamanio uliyokuwa nayo yanaweza kukuweka katika Wakati ngumu mambo uoiyopanga na kushirikisha watu zaidi ya wawili hayatafanikiwa si kipindi kizuri kwako kupata Jambo kirahisi.

SHEIKHE ISAYA ANAMSHUKURU MWENYEZI mungu kwa kumpa karama na uwezo wa kufundisha na kuwaombea dua viumbe wake. na anawashukuru wote mliorudi kutowa shukrani kwake. wengine mlioko nje ya nchi. shekhe isaya anatabiri nyota, kuondoa nussi, mikosi, kutoa majini wabaya, kutafsiri ndoto, kumvuta na kumrundisha mmeo ama mkeo, kupata kazi, kupata cheo, kushinda kesi, kufaulu masomo,  naukiitaji kufatiria nyota yako kila siku. ingia katika pager yetu ya Facebook. >> tumaini tiba asili<< utaona yota yako kila siku, SHEIKHE ISAYA ANAPATIKANA OFISINI KWAKE DSM MAGOMENI MSIKITI WA KINYUNGI SIMU AU WHATSAPP +255745495181

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...