Search This Blog

Thursday, July 25, 2019

Nyota Yako Leo Ijumaaa

NYOTA YAKO LEO IJUMAA JULAI 26/2019:

☣️MASHUKE– (Agosti 23- Septemba 23)
Siku ya leo ni siku nzuri ila jaribu kuwa muangalifu na mtu yoyote ambaye utashirikiana nae katika jambo lolote, wengine watataka kukuingiza katika mambo ambayo yatakuletea balaa kubwa na hasara kuwa makini sana.

☣️MIZANI– (Septemba 23- Oktoba 23)
Leo ni siku nzuri sana kwako kama ukiwa utatumia busara na hekima katika kukamilisha mambo yako kuna uwezekano wa wewe kupata bahati katika mambo yako jaribu sana kuwa muangalifu katika kila jambo ambalo umepanaga kulifanya au la si hivyo unaweza kuharibikiwa pakubwa.

☣️NG'E- (Oktoba 23- Novemba 22)
Tumia muda huu kukamilisha mambo yako uliyokuwa umepanga kuyafanya, Fanya safari, kutana na wadau wa biashara zako na tekeleza wajibu wako kazini Mambo mazuri yanakuja changamkia fursa usilaze damu.

☣️MSHALE– (Novemba 22- Desemba 21)
Inaonekana kana kuwa mambo yako yapo hatarini kuharibiwa na watu wengine hasa wale ambao wana mamlaka aidha ya serikali au katika dini Unatakiwa kuwa mpole kwa muda huu ili kupisha dhahama hiyo iondoke.

☣️MBUZI– (Desemba 21- January 20)
Ijumaa ya leo Jitahidi kukutana na wakubwa zako aidha katika familia au katika kazi wakusaidie kukupa ushauri, bila hivyo itakuwa vigumu kwako kutatua matatizo yako yanayokukabili hasa yale yanayohusiana na mapenzi na ndoa.

☣️NDOO– (Jan 20- February 19)
Leo tuliza akili maana usipokuwa makini unaweza kupoteza vitu vya thamani kubwa, kuwa makini katika mambo yako hasa nyie ambao mnafanya biashara au shughuli ambazo zinahusiana na pesa au kubadilishana pesa.

☣️SAMAKI– (February 20- March 20)
Ni lazima ujue kwamba Pamoja na kwamba leo itakuwa siku nzuri kwa kila jambo lako utakalolifanya unashauriwa kuwa usianzishe mambo mapya endeleza yale ya zamani na utafanikiwa tu wala usiwe na uoga.

☣️PUNDA– (March 20- April 20)
Jitahidi sana ijumaa ya leo na jaribu sana kuwa karibu na watu wako ili uweze kubarikiwa mambo yako, Fanya ibada na sala kwa mujibu wa imani yako na toa sadaka kwa watoto yatima maskini na wajane na utafanikiwa.

☣️NG'OMBE- (April 21- May 20)
Leo kuna uwezekano wa urafiki wako kuvurugika unashauriwa kuwa makini katika kuchagua marafiki wengine watakutaka wewe ili kupata kitu na sio marafiki wa kweli.

☣️MAPACHA- (May 21- Juni 20)
Jihadhari sana kujumuika na makundi yasiyofaa, kama una matatizo yanayokusumbua jaribu sana kuwasiliana na wataalamu ili wakusaidie kuondokana na matatizo hayo hata kupata muongozo mzuri wa kitu gani ufanye.

☣️KAA– (Juni 21- Julai 22)
Lazima ujue kwamba siku ya Leo hata kama ukikubaliana na mtu yoyote jambo lolote ujue atakwambia usubiri kwanza au atakucheleweshea mahitaji yako, kwa hiyo kuwa na subira na tumia hekima na busara utafanikiwa.

☣️SIMBA LEO- (Julai 22- Agosti 22)
Ili kukamilisha mipango yako ambayo ulikuwa umejipangia ni lazima ukutane na mtu mmoja mkubwa akiwa yupo hapa au yupo mbali akusaidie kuondokana na yanayokusibu vinginevyo hakuna mafanikio utakayopata katika jambo lolote.

SHEIKHE ISAYA ANAMSHUKURU MWENYEZI mungu kwa kumpa karama na uwezo wa kufundisha na kuwaombea dua viumbe wake. na anawashukuru wote mliorudi kutowa shukrani kwake. wengine mlioko nje ya nchi. shekhe isaya anatabiri nyota, kuondoa nussi mikosi, kutoa majini wabaya, kutafsiri ndoto, kumvuta na kumrundisha mmeo ama mkeo, kupata kazi, kupata cheo, kushinda kesi, kufaulu masomo, nk SHEIKHE ISAYA ANAPATIKANA OFISINI KWAKE MAGOMENI MSIKITI WA KINYUNGI SIMU AU WHATSAPP +255745495181 0682644040

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...